Hapa summer ikija itakuwa ngumu kumshawishi Van Persie kumwaga wino, na pia ngumu kushawaishi wachezaji wakali kuja kwani wanaona hatuko serious.
Na kwenye ligi tuna spurs, liverpool alafu Newcastle. Ya leo tuyasahau tuangalie tunapoelekea.
Nilikua nategemea hiki kikombe naona ndoto yangu imeisha vibaya.