Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
That is SQI..... Kuna haja ya kustaafu soka at least till nest season na hiyo itategemea Usajili atakaofanya AW......
Hii presha tutaiweza kweli?
Usajili ule ule tu wakuunga unga kama kawaida ya Wenger na mabosi wake.
Sema safari hii watatia akili tukikosa top 4.
mi naomba sana 2cwepo kwenye top 4 nione atafanyaje manake hicho ndo kinachompa kiburi acsajili wachezaji wazuri wanaoweza kumsaidia kuchukua ubingwa
Hahahah..kila mtu anaionea huruma arsenal.
Timu imekosa ushindani kabisa. Ngoja nistaafu tu soccer mpaka Wenger afukuzwe!
mi naomba sana 2cwepo kwenye top 4 nione atafanyaje manake hicho ndo kinachompa kiburi acsajili wachezaji wazuri wanaoweza kumsaidia kuchukua ubingwa
Lakini uvumilivu una kikomo chake. Naona this time Wenger hawez kubakizwa! Huwa pia nashindwa kumuelewa Gadiz kabisa. Inabidi tu arudishwe marekani alikotoka!Hakuna. Wa kumfukuza Wenger kwani anachofanya ndio mabosi wake wa. Sasa hivi wanataka. Kwahio wanashirikiana kwenye kila kitu tunachoona
Mpaka timu ikiuzwa na Wenger akipewa hela za usajili alafu afanye utumbo ndio hapo kibarua chake kitaota mbawa.
sorry gooners mnatoka sio..
Lakini tumemaliza sub mapema sana. Let's pray mtu asiumieNimeipenda sub ya leo. Inaonesha tunataka ushindi