Hatutegemei tombora kaka wala sadakarawe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
acha tu ndugu usinikumbushe..
KHEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE KHEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Tukishindwa na hii FA Cup aka kombe la mbuzi,vs Cats tukalime magimbi tu.
Imagine mwaka jana hata emirates cup tulilikosa na mwaka huu wamesema hakuna hilo kombe so weekend hii tukitolewa basi tujaribu musimu ujao manake hata big four sina hakika kama tutaingia!!!!!Tukishindwa na hii FA Cup aka kombe la mbuzi,vs Cats tukalime magimbi tu.
Proontooo Proontooo Proontooo............Bonaseera Bonaseeraaaa................Babene babeeneee................
Dah! hii timu yetu jamani safari hii itatuua na presha
Jipe moyo kamanda..tutalisongesha tu hivyohivyo!!
Acha kukurupuka na kimbelembele cha Mwajuma mtoto wa Kiume.......Hii ni Thread maalum ambayo mashabiki wa Arsenal Tunaijadili timu yetu......Kumjadili kocha wetu ni sehemu ya lengo la kuanzisha Thread hii......hayo mambo ya kocha wenu sisis hayatuhusu nyie wadau wakifika kwenu wanalamba wananyanyuka na point wanasepa...
The Wenger Years - Overview
How the Frenchman revolutionised Arsenal on and off the pitch
Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.