Ohhh! Bad news for for the gooners!!
Its So good kwa AW kuona mapungufu ya RAMSEY.... Bring t on!!!
Mi naona game ya leo Rosicky asicheze. Msimu uliopita game kama ya leo alitucost kwa kukosa penalty, then akasababisha corner iliyosababisha Bent kusawazisha kwenye dk za majeruhi!!