na hapo ndo The Special one anapokuwa juu v/s Barça, head to head anapoteza,
ila ligi yuko 7 points ahead. Kama timu is progressing, kuzifunga Manure na ManShit hakuna ulazima.
Ajabu kwa Arsenal yote yamekosekana.
Kufungwa na BB si tatizo....tena ukizingatia timu yenyewe imecheza mechi 5 au 6 mfululizo bila kufungwa. Lakini timu yetu sisi inatia aibu bin kinyaa, yaani tunafungwa fungwa ovyo kama changu anaejiuza! kusema kweli Arsen wenga na Arsenal yake wameniboa
mpaka basi!. Hao MAN U ndiyo wametugeuza kama timu yao ya kuja kuchukulia mazoezi ili wakacheze na Liverpol au Barca
Mashabiki wa Arsenal siku zote tupo hapa,iwe mvua liwe jua,siku zote tunakuwa pamoja.......Sio kama ninyi Man Utd ama Chelsea(isipokuwa Mfarisayo na Peasant)......,mnaonekana mkishinda tu......