Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Tuombe Mungu apone mapema, nilikua namtegemea sana kwa ajili ya Champions League.
 
Kwa style hii ya uchezaji wa Walcott kama Gervinho akirudi then itabidi alichezee benchi sana ili ajifunze soccer inachezwaje.....
 
Ramsey anatukosesha goli la wazi kabisa!! I hate this kid!
 
Namuona Raphael Benitez nae kaja kuangalia Mpira wa Arsenal.....
 
Game iliyopita ya FA against Aston Villa ilikua hivi hivi..... Tulidominate sana na kukosa nafasi nyingi sana za wazi..... Jamaa wakatushtukiza na Counter tukawa tumeshalala Mbili bila mpk HT..... Naona yaweza kujirudia na leo.... Alot of wasted chance so far.....
 
Huyu Walcott ina maana AW haoni utumbo wake au??? Anatumia akili au masaburi???? Crap and wasted kind of Player.....
 
Sasa hivi tunalia.... hakuna Clean Sheet hii game....
 
Koskenly anataka kutucost leo! Naona kidogo angemzawadia Ngog goli kwa mara ya pili!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…