Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna kipindi AW huwa anaboa sana katika upangaji wa timu....

Walcott, Ramsey, Benayoun, na Arshavin hakuna lolote wanalofanya uwanjani, wanakimbiakimbia tu....
 
Kona nyingine hiyo kuelekea langoni kwetu....

Inaokolewa but bado twashambuliwa......
 
Tumekoswakoswa.....

Safi sana RVP....

Ningekuwa AW ningefanya mabadiliko ya mapema badala ya kujikunyata tu pale kwenye benchi
 
metasaker na koscial ndo wana2okoa kule nyuma...beki zote za pembeni zimekufa
 
Pengo la Arteta linaoneka dhahiri....

Ni bora Wenger angemuanzisha Rosicky pale kati badala ya Benayoun
 
metasaker na koscial ndo wana2okoa kule nyuma...beki zote za pembeni zimekufa
Djourou ni hovyo kabisa na dogo Miquel yuko slow japo anajitahidi kukaba...

Hali si nzuri kwetu leo kwa aina hii ya uchezaji...
 
Tuko pamoja wakuu.

Naona tupo tupo, wala hatuna muelekeo wowote ule na hatuoneshi nia ya ushindi.

Mechi muhimu sana hii kushinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…