Anacheza na Aston villaNyumbu kesho asiposhinda anaanza kupambania relegation rasmi
Chama letu ili hadi lituueUmefanya nicheke πΉ
Hii ligi sio lelemama tena, tim ndogo nazo zina mapembe. Ukijipigia zako kimoja una shukuru mungu kisha unapiga haram ball (tetaball) mpaka mechi inaishaEpl ukiangalia kwa juu juu utaona ni ligi rahisi sana.Kwamba utacheza na Coventry utamfunga goli 5.
Hakuna points rahisi EPL, muda wowote unaaibika.Angalia City anavyopata tabu kwa Nottingham.
Ukipata points 3 furahi, songa mbele.
Acha tu aanze kupambania kutoshuka daraja. Hali hiyo iendelee mpaka mwezi wa tano halafu aponee chupuchupu kwa GD.Nyumbu kesho asiposhinda anaanza kupambania relegation rasmi
Nimeona hata Mike Dean refa wa zamani kaongelea hili. Anasema ile ilipaswa kuwa tuta kwetu.Online mashabiki wa Arsenal wengi wamecite jinsi gani mechi dhidi ya Hull refa na VAR hawakutoa penati pale Kai alivyodondoshwa kwenye boksi.
Sasa dhidi ya spurs miaka nane nyuma Kane alidondoshwa na Mustafi kwenye boksi. Taylor akaweka tuta, lakini kwakua Kane alikua offside mashabiki wa Arsenal wakaexpress hasira mitandaoni na kila walipoweza.
Majibu yakatoka kwamba sheria ya FA juu ya offside inasema kwamba mchezaji aliye offside akaonyesha dhamira ya kuucheza mpira ila akachezewa rafu kabla hajaucheza mpira au hajauchallenge kwa mchezaji mwingine hiyo inakua ni faulo kwakua rafu imechezwa kabla hajaufikia mpira.
Hii ilitumika kuhalalisha hiyo penati na goli la Bruno ambalo Rashford alikua offside wazi kabisa ila wakajibu ili liwe kosa ilibidi aucheze mpira.
Sasa Kai hakuucheza mpira, means huwezi kuta kosa la offside na faulo imetokea kabla hajaufikia mpira.
Kama bodi itakata rufaa tutasikia maelezo mapya au maombi ya msamaha.
Ashuke kabisa ili uzi wa nyumbu tuufanye jukwaa la kuuzia vifaa vya michezo.Acha tu aanze kupambania kutoshuka daraja. Hali hiyo iendelee mpaka mwezi wa tano halafu aponee chupuchupu kwa GD.
Dah πAcha tu aanze kupambania kutoshuka daraja. Hali hiyo iendelee mpaka mwezi wa tano halafu aponee chupuchupu kwa GD.
Arteta aliulizwa juu ya Isak kuvutwa jezi akajibu mkitaka tuongelee hilo mimi nina library ya maamuzi ya mtindo huo dhidi yetu.Nimeona hata Mike Dean refa wa zamani kaongelea hili. Anasema ile ilipaswa kuwa tuta kwetu.
Kabisa yaani. Sisi maamuzi mengi sana huwa tunapunjwa ila kwa sababu tunashinda, watu wanatuchukulia poa.Arteta aliulizwa juu ya Isak kuvutwa jezi akajibu mkitaka tuongelee hilo mimi nina library ya maamuzi ya mtindo huo dhidi yetu.
Hata wiki haijaisha linatokea jingine.
Mimi nataka wabaki ila wasiwe wanafanikiwa ili tuendelee kujipigia kila msimu huku tukiendelea kuwasumbua Manyumbu kule jukwaani kwao. Wakishuka daraja hatutakuwa na sababu ya kwenda kule kuwapigilia spana.Ashuke kabisa ili uzi wa nyumbu tuufanye jukwaa la kuuzia vifaa vya michezo.
Wetsham ni mshindani sana ilibid awe epl sio nyumbu, wahuni wanajipigia tu
jamaa ni beast kwenye 1v1.Huyu Konsa soon ataanza kumpasua kichwa Arteta amuanzishe yeye au Saliba.
Yaani naangalia mechi yule dogo wa Hull anakimbia kulifuata boksi na mpira halafu naona Konsa ameunga naye nikawaambia washkaji "Basi tena hamna kitu hapo" nikawa nasubiri tu sliding tackle, yule dogo anashoot tu Konsa kashaslide mpira ukamgonga ukatoka nje.
Nafikiri Konsa amefanya mashabiki tusimuwaze Saliba, tunamuamini jamaa, anacheza kwa passion. Saliba aendelee kutibiwa bila presha
Mjinga una roho mbaya sio poaAcha tu aanze kupambania kutoshuka daraja. Hali hiyo iendelee mpaka mwezi wa tano halafu aponee chupuchupu kwa GD.