Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Partnership ya Bruno/Rice huwa haiwi sophisticated kama ya Rice/Lewis. Nilitegemea pea ya pili ingeanza then kama kawaida Bruno anaingia kuweka la ushindi.

Sijui, ila naona ugumu wa kutengeneza nafasi za ushindi kwenye game ya leo.

All in all tunashinda hii.
 
Yaani kikosi ni kile cha Brighton sjui itakuwaje
 
Viazi baada ya kuvilambisha chuma vimekua vikali.

Wametufanyia high pressing, wamepata chances but we were resilient. Second half inabidi tubadilike, mid yao na full backs wamerelax sana.

We need shots za nje ya box. Nafikiri tungescore goli la pili wangezima fegi
 
Kuchukua ubingwa ni pamoja na kujua kushinda game kama hizi.

Miaka ya nyuma mpaka muda huu tushapigwa 4 tunarukaruka tu uwanjani.

Ila tukishinda leo utaona wachambuzi uchwara mmepaki basi, refa kawabeba, mmebahatisha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…