Tumeshinda
Alipoingia Viktor, Timber na Bruno mtangazaji alisema sasa Arsenal inacheza kwa intensity.
Why? Kai anacheza kama false 9. Box la mpinzani halina mtu muda mwingi. Ni idea nzuri kama timu inamiliki mpira na pattern haiingiliwi.
Viktor akiingia anabaki eneo la mpinzani halafu defense hairelax tena.
Team played better baada ya huyu mtu. Hata Bruno goli alilopata ni kwakua defense yote ilimkimbilia Victor ikaacha gap.
Fools won't see this