Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nwaneri kwa mkopo Dortmund.

Vieira kauzwa Hamburg SV.

Jesus kaenda Barcelona.

Martinelli kaenda Al Hilal. Acha dogo akale hela nyingi kubababake
List kamili ya Walosajiliwa na waloondoka.

Walosajiliwa​

Bruno Guimaraes – Newcastle United - £75million

Ezri Konsa – Aston Villa – £55million

Piero Hincapie – Bayer Leverkusen - £37.5million

Christos Tzolis – Club Brugge - £34million

Illan Meslier – free transfer

Igor Tyjon – Blackburn Rovers – Undisclosed

James Scanlos – Manchester United – Undisclosed

Habeeb Ogunneye – Manchester United – Undisclosed

Phoenix Blayney – Larne – Undisclosed

Axel Donczew – Cardiff City – Undisclosed

Elijah Upson – Tottenham Hotspur – Free transfer

Waloondoka​

Gabriel Martinelli – Al Hilal - £60million (Expected to be announced soon)

Leandro Trossard – Besiktas – £17million

Jakub Kiwior – FC Porto – £14.7million

Gabriel Jesus – Barcelona - £12million

Fabio Vieira – Hamburger SV – £7.7million

Christian Norgaard – Everton – £7million

Karl Hein – Werder Bremen – £2.5million

Ethan Nwaneri – Borussia Dortmund – Loan

Reiss Nelson – Free agent

Total Sales ni £113.90M, si haba.

Hivyo dirisha hili la usajili lilikuwa khasa kwa ajili ya kuondoa wachezaji kama Jesus ambao walikuwa na mishahara mikubwa.

Cha msingi ni kwamba hawa vijana walosajiliwa sasa ndo watakuwa chimbuko jipya la wachezaji Kama ilivyokuwa kwa Bukayo Saka.

Unai Emery alipokuja Arsenal alimchukua Saka kutoka Academy na Saka akaanzia kucheza nafasi ya beki wa Kushoto kabla ya baadae kuwa winger.

Hivyo bado Arsenal ina washambuliaji wawili ambao ni Harvez na Gyokeres ingawa sote twafahamu kwamba Harvez ni mlegevu na mpotezaji mipira mingi tu.

We have to trust process nzima katika mradi huu ambao Arteta aufanya na tupime matokeo kuanzia mwezi December ambao huwa mwezi mgumu kwa Arsenal.
 
Mechi ipi kaanza mpaka useme kaogopa
unaambiwa enzo tangu amefika chelshit mpaka ameondoka hajawahi kupata win dhidi ya arsenal akaona isiwe tabu ngoja niondoke zangu timu gani hii ambayo haiwezi kuifunga arsenal halafu wanasema wanataka ubingwa wa epl
 
sababu za victor gyokeres kutocheza ni kwamba jamaa alivyoona barcelona hakuna striker akajiofa mwenyewe
arteta alipojua akafanya kama anavyofanya
hatutaki mtu anayecheza arsenal huku mawazo yapo barcelona hiyo era imekwisha
ndio maana alikuwa anapush dili la alvarez japo alvarez ndiye alikataa

arteta anatuma meseji kwenye dressing room kwamba yeye ndio boss unaweza ukajiona ni mchezaji mzuri na ukakaa benchi hana muda wa kubebembeleza

arsenal sio option ni priority
 
Mnachukua ubingwa na bado mnateseka kushawishi wachezaji dah inatia aibu
 
Mzee hii ni kweli?
 
Hivi umesikia alichikisema Enzo Fernandez baada ya kysajiliwa na City?
Kila mchezaji anapoenda team nyingine ni Kawaida kusema maneno hayo kumbuka huyo huyo aliwahi kusema ndoto yake ni kucheza Real Madrid wakati team yetu inafanya vibaya bahati mbaya sana Real Madrid wakasema hawamuhitaji Enzo huyo tena anaongea maneno Yale yale kwa Man City baada ya kusajiliwa ukiwa una akili timamu na mshabiki mzuri wa soka unamuelezea vipi Enzo??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…