PFA Bruno Fernandes, cunha, mbeumo, maino, Martinez, lammens, rashford, amad, balebaWewe Huna wachezaji wa maana na ndio maana Nampa nafasi Spurs kumaliza juu yako
Sawa.Joao Pederito, na hapo timu ilikua haileweki, hilo striker lako japo timu ilikua na msimu bora bado alikua anaruka ruka tu.
Kuna Ekitike na Gyokeres unachukua yupi? au kuna Isak mzima msimu mzima na Gyokeres unachukua yupi?
Nimependa hapo ulipo sema isack mzima. 😀Joao Pederito, na hapo timu ilikua haileweki, hilo striker lako japo timu ilikua na msimu bora bado alikua anaruka ruka tu.
Kuna Ekitike na Gyokeres unachukua yupi? au kuna Isak mzima msimu mzima na Gyokeres unachukua yupi?
Nachojua Pedro amelipita roboti lako magoli, tena kwenye timu iliyokua tia maji tia maji, wewe sasa ndio ukatae kwa ushahidi kuweka magoli yao.Sawa.
Sasa andika hapa magoli ya Pedro
Magoli ya Isak
Magoli ya Ekitike
Magoli ya Gyokeres
Mimi ninachojua Gyokeres kawapita magoli wote hao niliowataja na alikua hagewi pasi anatafuta mipira mwenyewe. Wewe unayedai hilo ni roboti sasa uende ukaangalie magoliNachojua Pedro amelipita roboti lako magoli, tena kwenye timu iliyokua tia maji tia maji, wewe sasa ndio ukatae kwa ushahidi kuweka magoli yao.
Kwani imeshakuwa confirmed kaondoka?atleast tumepunguza gabrielis
martinell na jesus wote hawapoKwani imeshakuwa confirmed kaondoka?
TBT miaka 15 iliyopita Wenger orphans tuliwafanya kitendo kibaya sana hawawezi kusaau maisha yao yote
Tulipiga kama ngoma
EPL timu ya kunisumbua kuchukua kombe msimu huu ni arsenal tuKweli ukiwa timu ndogo ni balaa.
Ipswich ananyanyaswa kwa udogo wake.
Hizi advantages hata Arsenal tumezipata baadhi ya mechi.
huwezi kumpima kipa kwa idadi ya magoli tu. Mabeki wanaweza kuathiri sana magoli anayofungwa, na kipa anaweza kufanya saves nyingi hata kama amefungwa 3.Tuna kipa mbaya, wanashinda 3 - 2
Tumepata kipa mzuri, wanashinda 4 - 3
Kenge kabisa
kwanza mfikisheni United kwenye top 4 bila kupotea njiani, halafu ndiyo tuanze mazungumzo ya kombe. Arsenal siyo tatizo lako pekee EPL yenyewe ndiyo tatizo lako.
Kwanza mfikisheni United kwenye top 4 bila kupotea njiani, halafu ndiyo tuanze mazungumzo ya kombe. Arsenal siyo tatizo lako pekee, EPL yenyewe ndiyo tatizo lako.EPL timu ya kunisumbua kuchukua kombe msimu huu ni arsenal tu
United Nina timu nzuri.
Chelsea beki yake mbovu haswa aerial duels
Usichanganye confidence na evidence. Msimu una mechi 38, sio mbili. Ngoja Spurs wafike December kwanza bila kupotea kwenye top-half, ndipo turudi kwenye hii statement yako ya hawapo level ya Spurs.Ndio ni mechi ya pili usimalize kila kitu team tatu tu zinaubora Zaidi ya Spurs ni Chelsea, Arsenal na Man City. Angalia kiwango cha Liverpool na Man U hawapo kwenye level ya Spurs ndio maana nikaongea hivyo
Ngoja tufike December kwanza, maana mpira una tabia mbaya sana ya kumrudisha mtu kwenye reality. 😂Arsenal anabeba vikombe vyote vya EPL
So defense ya Chelsea ni ya hovyo? Shida haikua kipa?huwezi kumpima kipa kwa idadi ya magoli tu. Mabeki wanaweza kuathiri sana magoli anayofungwa, na kipa anaweza kufanya saves nyingi hata kama amefungwa 3.