BRUNO FERNANDES ni player of the season.
Wapiga kura ni wachezaji tu, sio mashabiki Wala waandishi wa habari
Haiitaki kuelezea sana jinsi alivyostahili alifanya kazi kubwa msimu uliopita.
Class yake ni permanent, msimu huu najua atatufaa sana na tutakuwa bora zaidi coz tunawachezaji wazuri
Hope tutakuwa mabingwa au nafasi ya pili.
Arteta anajua mpizani wake ni carrick tu, lkn nyie mashabiki wenye chuki mnatutoa mpaka top four π
π
kisa game ya ufunguzi
Ni kama hakuna atakaefungwa