Arsenal (The Gunners) | Special Thread

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Sasa nimepata sababu ya kunywa bia zangu za bariiiiiiiiiiiiiiid😁😁😁😁😁
 
Kuna mechi moja tulicheza hovyo tukapoteza.

Arteta akasema analiona hilo na wanalifanyia kazi ndani kwa ndani.

Wachezaji wakasema na wenyewe wameona wanavyokosea hivyo wamewekana chini kuambiana ukweli.

Hakuna mabadiliko ta chochote kile isipokua ni mwendelezo wa upuuzi ule ule
 
Vumilieni πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…