Tangu mwanzo mwa raundi ya pili mnaonekana mna shida, hata ushindi wenu ni papatu papatu....... City angekuwa serious ungekuta anaongoza ligi, sema nae msimu huu amepoteana .......
Hio ndio pona yenu ....wapinzani wenu wote ni viande, hawana jiipya

Sioni kipara akiwasha moto masta.... watu walishamsomea, ukikamata haaland kwisha habari ! Sio enzi za kina sergio, toure, silva, mahrez ,kdb goli linatoka angle yoyote yani ! Sasa hivi kuna kina doku, sijui savinho, marmoush wanaruka ruka tu