Arsenal (The Gunners) | Special Thread

😁😁😁 Wazee wa Haramu football, jana wamepigiwa Halal football wenyewe wakatanua mapaja.
 
🤣🤣🤣 Ninachompendea Tetea Kiwigi ni jasiri na hayumbishwi na kelele za misukule kwenye misimamo yake.
Mitano tena kwa Kiwigi kocha la makombe.
 

Attachments

  • 1774272446572.jpg
    296.9 KB · Views: 1
🤣🤣🤣 Baada ya kukosa Epl naomba pia uje na kauli hizihizi za kujifariji.
Hapana sio kauli za kujifariji, City walituzidi mzee, sio kwamba Arsenal ni team mbovu hapana, Pep ni kocha bora kumzidi Arteta, kwani hilo lina ubishi?! Kukosa EPL ni uzrmbe wa team na sio kocha. Kwani wamefikaje hapo walipo. Sijifariji, ukweli lazima usemwe
 
🤣🤣🤣Bottlers fc AKA try again next season…..
 

Attachments

  • 1774271534404.jpg
    231.2 KB · Views: 1
Msioipenda Arsenal shangilien vile mnavyojua lakini EPL tunabeba na city pale kwake hatufungi.

Tunzeni hii risiti.

City kwasasa hana uwezo wakutufunga mara 2 mfululizo.

Litakufa jitu pale Etihad.

Kaifunga timu isiyo na Eze + Raya tutafunga mdundo unaomfaa pale kwake.

Arteta aache tu ufala wake wakujaribu mambo kwenye mechi serious.

All in all jana tumekosa nafasi nyingi za wazi na Gyokeres alistahili kutoka abaki Kai pale mbele akae Tros aingie Martinel kushoto kule.Pangenoga.

Lakin kwa ujinga wake anampeleka Saka kati yaani mara 100 angemuingiza Dowman nikajua kaamua tu kujaribu mambo kwa ufasaha.
 
Aisee mwamsheni huyu jamaa anakaribia kulimwaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…