Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chamakah kaingia lakini hapati service za mipira yake ya juu . Why?
 
Nime enjoy game kinoma, kudos Arsenal, vijana wamejitahidi mnooooo!!!!!!!!!!!!!
 
Tumejituma tunachokosa wachezaji wetu wachache pale mbele hawana nguvu. Walcott na Gervinho wametunyima mchango wao leo wanatakiwa watumie nguvu zaidi kwenye mechi kama hizi.
 
dah!yaani nashindwa hata kuandika jinsi nilivyokasirika manake mi cwapendi hawa jamaa mpaka bac na watajidai sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…