Inapaswa tu direct kweli kweli, Tokea Saka na Odegaard wawe nje ya uwanja kwa majeruhi ndio Arsenal imefanikiwa kumtumia vizuri Gyokeres.
Bahati mbaya Kai ameumia sijajua approach ya kocha itakuwaje ila mfumo wa 4-2-3-1 umekua mzuri zaidi mashambulizi yapitie kati na tuwe na uwezo wa kupiga mashuti nje ya boksi.
Hakuna nafasi ya makosa tena, tukipoteza point hata moja leo tusahau ubingwa. Na akifeli msimu huu sioni tena uwezo wa kubeba EPL msimu ujao maana timu zote zitafanya rebuilding.
It's a now-or-never situation, up the gunners!!