Jukwaa hili leo muhimu kulitazama maana wapenzi wa The Gunners ni kivutio cha ajabu, wakishinda wanasahau yote wakifungwa wanalia kama watoto. Siondoki humu, maana naona kuna kazi ya kubembeleza watu humo maana hamtoki salama!
Kweli kabisa jamaa hawana confidence kabisa. Wanatetemeka wakipata mpira, na mbaya zaidi wanataka kuukokota wakati wanajua hawana confidence. Bora wakipa mpira wawe wanatoa pasi za haraka tu.