Wanangu wa Arsenal tunakatisha tamaa hizi back pass sio nzuri na sio mara ya kwanza kutugharimu. Hawa man utd wakiondoka hata na point moja ni fedhea sana. Zubimend kazingua.
Arsenal inamakosa mengi sana kuanzia eneo la katikati kuja nyuma.Wanatoa maboko sana sema timu nyingi huwa hazitumii makosa yao.Game na Inter tulifanya makosa mengi tu ni Vile Inter hawakuweza kuyatumia. Back pass hizi zimeshatugharimu sana. Saliba si back mwenye utulivu akitiwa presha tu kufanya makosa ni rahisi sana.Acha tuone!