Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona vijana ndo wanaingia Groundini.... Nasri ndani... RM anataka kumuonyesha AW kuwa alikua sahihi kutoa mahela mengi kumnunua Nasri!!! Hana game nzuri sana Nasri may be leo ataonyesha kiwango.... Natarajia kuona mpira mzuri.....
 
Ngoja tuone kabumbu sasa sio butua butua za wenzetu.
 
Wakuu leo tunakula sahani pamoja lazima tuwatandike City hamna kuogopa kabisa
 
Nsikia pundit wanasema upenyo kwa arsenal kupigwa bao na man city utakuwa kwa djorou na matersacker. Ngoja tuone.
 
Kazi tunayo gooners, ila mpira unadunda au sio?!

Walete walete...
 
Hizi offside trick inabidi boys wawe makini...... KUN katukosa.....
 
Naona Mancs wameananza kwa kasi nguvu ya soda tu hiyo.
 
So far Kati jamaa wamedhibiti... RAMSEY is unseen.... Mipira haiendi mbele kabisa..... hatuna move hata moja ya maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…