Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Mtazamo wangu atoke Merino aingie EzeNaona merino aendelee kubaki, ode sio mzuri kwenye kukaba
Kuhusu kuingia Eze atoke martinel hapo kama tuna bet flan hivi, no way out bora aingie Eze kuliko anachotufanyia martinel
Hadi mapumziko Liverpunda wanatumia sana nguvu ya mashabiki ila hakuna mpira wowote ule wanaocheza
Ni kweli Isak ni mtu sana yuleWakimchukua isak watabadilika …japo pia midfield yao naona imepwaya sa hiv
Kwa pale mbele ndio mtu pekee akishika mpira anaonekana ana madhara.. Yupo direct sana.Madueke mtu jamani kwa replacement ya saka ..yuko vizuri
Daah ila gyokeres namuona kawa mnyonge sana
Kwa pale mbele ndio mtu pekee akishika mpira anaonekana ana madhara.. Yupo direct sana.
Liverpool inabidi wavunje kibubu kumleta Isak. Nao kwa sasa pale mbele ni shida tuIla Liverpool msimu huu sioni wakiwa na hatari sana kwenye mashambulizi km ilivo last seasons.
Japo mechi bado. Ngoja tuone 2nd half watakuja vipi.
He is the best player on our team todaySasa naelewa..
Saka ni saka
Madueke ni Dudukwe wa ulaya.
Madueke..?He is the best player on our team today
Matokeo. Yakoje huko kwenye hiyo Saka mme wakoBaada ya kuingia Odegard na Eze tumeanza ile inaitwa saka mke wangu au unatoa hutoi?