Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Namuangalia Cherki hapa wa Man City....aisee hyu mjinga asipobadilika hii ligi ataona ngumu....mambo ya matobo na kanzu ayaache kule Ufaransa....huku Uingereza ni kata funua piga mbele....ubishoo hakuna huku
Ana mwili mkubwa anaonekana kama kibonge, pia nadhani apokelee pasi wide maana ana skills na mzuri 1v1 anavyopokelea mali na kucheza karibu na boksi naona kama anajichelewesha
 
[emoji599]Max Dowman is with the Arsenal first team squad for the game
Natamani sana huyo dogo apewe dakika game ya leo:
Game haina pressure
Tupo nyumbani
Leeds ni more than underdog to us

Base on those facts, Max hii game anaimudu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sema mwamba anapitia mateso makali sana mpaka suruali zake siku hizi hazimtoshi tena, ukiangalia vizuri mkanda wa Guardiola utaelewa namaanisha nini.
Kipara anaingia mpaka na rozari uwanjani lakini bado watu hata hawamuonei huruma wanamtia tu makonzi ya utosi.
 
Huyu jamaa amemtesa sana Klopp acha na yeye ateseke.
 
Huyu nampiga 5 tena safari hii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…