Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Lakini mkuu tukiacha ushabiki pembeni, Mbeumo na Cunha ni proven EPL player. Na leo wametuonyesha na kututhibitishia hilo.. Kama mtu utakuwa una wasiwasi na mbeumo au Cunha basi unahitaji kuwa na wasiwasi zaidi kwa Victor Gyokeres.
 
Hamna mtu anayetaka kubishana na wewe ila unaambiwa ukweli ili usiwe na matalajio makubwa
Sina mategemeo yoyote ndiyo maana sijaongelea ubingwa. Nilichoongelea ni kuchukua point 3, kwenye game ngumu kama ya leo.

Sasa sijui nimekosea wapi kujipongeza kwa ushindi huu wa leo.

Na huo ukweli wako ni utabiri tu kwani ndiyo kwanza tumeanza ligi.
 
Basi hongera
 
Man u ni wajinga
Wamefungwa ila wanasema wamecheza vizuri
Hapo ni sawa na kuwa na mke anakata sana viuno ila hazai
Ni kama ujinga wa Arisenyo huwa wanafurahi kumfunga United ila ligi ikiwa inatamatika hawana cha maana walichobeba zaidi ya kuwa top four
 
Lakini mkuu tukiacha ushabiki pembeni, Mbeumo na Cunha ni proven EPL player. Na leo wametuonyesha na kututhibitishia hilo.. Kama mtu utakuwa una wasiwasi na mbeumo au Cunha basi unahitaji kuwa na wasiwasi zaidi kwa Victor Gyokeres.
Ni kweli leo walikuwa na makali sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…