Teh teh teh ana tatizo gani
Mi nadhani tatizo sio yeye tattizo ni combination yeye akicheza kati kati na huyo mwenyejina gumu. Walikuwa wanachanganyana sana
Agreed...maana defence yetu haikawii kuweweseka pale mashambulizi yanapokuwa makali na jamaa wakipata goli tu basi watahaha huku na kule ili wasawazishe au hata kushinda.