Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kudus mtu sana huyo, huenda akatupa kitu bora kuliko saka.
 
Katika kucheza kwangu mpira, nimeitwa majina ya mafundi wengi, ila kuna jamaa yangu aliniita MTAKATIFU CAZORLA, mbele ya watu nikakataa lile jina.
Nikamwambia anachokifanya CAZORLA kwa mguu wake mmoja tu wa kulia mie nafanya kwa miguu yote, hapo hatujaongelea mguu wake wa kushoto.
Fundi sana jamaa.
 
Yule ansu fati uchawi majeruhi tu, lakini ni bora kuliko martineli, jitu kama pogba lingeongeza kitu kwenye kiungo, pogba ni lichezaji haswaa basi tu.
 
Ingekuwa mimi hilo jina ningelipokea kwa mbwembwe zote aisee.
Mimi jina la utani la mpira niliongezewa 'inho' mwisho wa jina langu ili liwe kama Ronaldinho 2002 na ninapeta nalo hilo jina mtaani mpaka leo hii. Na wala sikuwa fundi kivile.

Wenger alizungua kwingi ila kutuletea Mtakatifu Cazorla, alicheza kama Pele.
 
Yule ansu fati uchawi majeruhi tu, lakini ni bora kuliko martineli, jitu kama pogba lingeongeza kitu kwenye kiungo, pogba ni lichezaji haswaa basi tu.
Hao wote hamna kitu. Kiungo tumchukue Morgan wa Aston villa, LW Kuna mtoto wa osasuna tulihusishwaga nae kipindi Fulani, dogo uchezaji wake kama Sanchez
 
Mie nililikataa kabisa hilo jina, cazorla kale kajamaa kalikuwa fundi saana, matumizi yake ya miguu yote yalikuwa ya hali ya juu.
 
Hao wote hamna kitu. Kiungo tumchukue Morgan wa Aston villa, LW Kuna mtoto wa osasuna tulihusishwaga nae kipindi Fulani, dogo uchezaji wake kama Sanchez
Pogba hana kitu, hizi ni dharau nzitoo mnooo.
Alifeli kuichagua Manchester iliyojifia, ila ni bonge la mido
 
Kinachoongelewa hapa ni ku economize ili kutafuta key solutions kwenye matatizo makubwa, Odegaard hata km ana mapungufu lakini hajafikia kuwa tatizo la kutatua kwa mil 150, Our system needs 1v1 specialist kuliko AM, timu yetu inahitaji clinical CF kuliko AM. Sasa kwanini utupe pesa wakati kuna matatizo makubwa ya kuaddress zaidi ya Ø? Ujio wa Zubimendi unapunguza majukumu kwa Odegaard, hivyo hatuwezi kurukia kwenye conclusion kwamba ni lazima atafutwe mbadala wake sasa
 
Tupunguze kuwa negative, inawezekana Charlie Patino amefeli lkn how about Saka? Myles Lewis Skelly? hawakutoka Hale end?
 
Newcastle imemtaka Cunha.

Cunha kagoma.

Imemtaka Mbeumo.

Mbeumo kagoma.

Imemtaka Elanga.

Elanga kagoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…