Wacha maneno weweeee. Hapo saizi kina Kolpama wanajiuliza watakuwa wanapita wapi. Halafu tunaleta mmoja kati ya Gyokeres au Sesko...au wote tu, kwani shida iko wapi?...huku akina Badiashile nao wanajiuliza hii Arsenali ni nani wa kuizuia..?...Kidura kinaendelea, muda wa usajili tambo kibaaaooo, msimu uanze muanze kusifia overload na download, mwisho wa msimu holaaa. Mnarudi tena kwnye usajili tambo kama hizi😂😂😂
He lack physicalityHuyu dogo fabio anakitu kikubwa sana, ni aina ya midfielder kwenye pass 10, mbili tu ndio back pass
Shida ni kuwa mahitaji ya epl ni makubwa zaidi. Sijajua kama atakua matured enough
View attachment 3377560
Msisahau kumchukua na Madueke pls. Atawasaidia sana kwenye mbio za big4.Wacha maneno weweeee. Hapo saizi kina Kolpama wanajiuliza watakuwa wanapita wapi. Halafu tunaleta mmoja kati ya Gyokeres au Sesko...au wote tu, kwani shida iko wapi?...huku akina Badiashile nao wanajiuliza hii Arsenali ni nani wa kuizuia..?...
Nimeangalia YouTube tu ila nafikiri tutafute mabeki wawili - Jorrel Hato wa Ajax na Alexsandro wa Lille. Hato ni mfano wa Timber na Alexsandro ni mfano wa Gabriel na Kiwior na anatumia miguu yote vizuri. Ikiwa tuchukue mmoja tu basi naenda na Alexsandro. Tomiyasu anaumia sana, Tierney ameondoka na Zinchenko huenda akaondoka pia. Hapo tumalizane na upande wa ulinzi.Clinical finisher
Rw
Lw
Hapo arteta na beta watulize akili, watuletee watu wa kazi
Nashangaa kwanini hawajamalizana na huyu jamaa ili kuwekeza nguvu kwwnye maeneo ambayo yanaupungufu unaoonekana Wazi wazi ongezeko la zubi ilitakiwa na huyu jamaa abaki alf maeneo ya mbele yaboreshwe zaid ila akiondoka huyu inatakiwa tena kuingia sokon kutafuta kama huyu na hapo bajet inazid kupungua sijui hii timu ina laana.View attachment 3377464
Arsenal wake mezani na huyu mwamba, bado tunamuhitaji kwa misimu miwili
Huyu n mtu sana
nani huyu, kwamba tayar arsenal?Welcome to Arsenal MaestroView attachment 3378749
Mawazo ya kuchekesha, kutoka kwa shabiki wa timu ya kuchekesha.Ø kinachombeba ni uwepo wa Nwaneri na Max dowman, the kids are talented but not ready, vinginevyo dirisha hili angetafutiwa mbadala
Kwenda na Ode as our AM next season, matokeo yake ni kama yale ya kwenda na Martinelli as LW last season.Partey akiondoka solution ni kutafuta AM. Zubimendi na Rice watacheza Double pivot baadhi ya mechi, AM inabidi awe mzuri kuliko Ø, awe mbunifu na mwenye kupiga mashuti, kwa ufupi awe na uwezo wa kulitafuta goli, viungo tunao wengi wa kuziba nafasi ya Partey muhimu kocha awe tayari ku coach multi systems. Ujio wa Zubimendi unabadilisha majukumu ya Ø, Je ataweza kuibeba Arsenal kwenye sekta ya kutafuta magoli?
Well said,Nimeangalia YouTube tu ila nafikiri tutafute mabeki wawili - Jorrel Hato wa Ajax na Alexsandro wa Lille. Hato ni mfano wa Timber na Alexsandro ni mfano wa Gabriel na Kiwior na anatumia miguu yote vizuri. Ikiwa tuchukue mmoja tu basi naenda na Alexsandro. Tomiyasu anaumia sana, Tierney ameondoka na Zinchenko huenda akaondoka pia. Hapo tumalizane na upande wa ulinzi.
Mido - Zubi amekuja na Partey akiondoka sifikirii kuleta mtu mwingine katikati japo Jorginho ameondoka pia. Namba 6 Rice na Lewis-Skelly wanaweza kuicheza.
Kule mbele sasa ndipo waje wazee wa kazi, kama ulivyosema. Gyokeres na Sesko wote nawakubali, tuchukue mmoja wapo au wote. Tulete mbadala wa Odegaard pia. Wingers muhimu sana. Upande wa Saka naona tumuendee Kududs. Kushoto sijaona yupi atatufaa zaidi ya Gittens ila huyu naona Chelsea wameshamchukua. Tumehusishwa na Rodrygo ila sidhani kama anataka kuondoka Madrid na bei yake haitakuwa ndogo.
Usione tuko kimya kisa timu zingine zimesajili. Kumbuka tulimchukua Zubimendi kitambo sana pamoja na kuwa huenda hatutamtangaza mpaka July. Sesko tumefukuzia zaidi ya mwaka na sasa hivi dakika za mwishoni yeye na wawakilishi wake wameanza kuleta utoto mwingi.Well said,
Ukimya wa arsenal kwenye huu usajiri unaanza kutia mashaka
Vipi, tumchukue?Kenan Yildiz