Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Partey vipi tena...??
Naona kama yeye na Arsenal wanashindwana kwenye suala la maslahi. Naskia anataka ongezeko la mshahara pamoja na mkataba wa miaka 3 maana anaona ndiyo mkataba wake mkubwa wa mwisho na anabidi aangalie familia yake. Arsenal wanataka kumlipa chini ya 200.000/- kwa wiki ambayo inasemekana ndiyo kiwango anachochukua kwa sasa, huku pia hawako tayari kumuongezea zaidi ya miaka miwili kwa sababu ya umri wake na historia yake ya kuwa na majeraha ya mara kwa maea.
 
Mashabiki wa liver wakiiona hii watapata makasiriko kishenzi
 
๐Ÿ—ฃ๏ธJurrien Timber thinks #Arsenal are going to sign lots of players this summer: โ€œIt will definitely be a busy one for Arsenal. I think weโ€™ll get a lot of players, because we had so many injuries last season. At one point, we almost had no players left. So, they definitely want to get players for the depth.โ€ ๐Ÿ™
 
Arsenal inahitaji usajiri wa watu wa kazi sio chini ya watano

Clinical finisher or goal machine

Right Wing (upande wa zake kumsaidia au kumchallange)

Left wing (tulipo fikia hatuhitaji kuwategemea martinel na Trosad)

Versatile midfielder (zubimendi)

Central back

Nashangaa kuona Arteta yupo busy na kushika matako
Arteta na berta wanatuchukuliaje?
 
๐Ÿšจ OFFICIAL Michezo sita ya Arsenal msimu 2025-26

๐Ÿ”ด ARSENAL FC

Man United โš”๏ธ Arsenal

Arsenal FC โš”๏ธ Leeds United.

Liverpool FC โš”๏ธ Arsenal FC

Arsenal FC โš”๏ธ Nottingham Forest

Arsenal FC โš”๏ธ Manchester City

Newcastle United โš”๏ธ Arsenal FC


Ukiachana na game ya kwanza(uhakika 6 Home and away), zingine zote hizo za moto sana
Bila usajiri wa kueleweka mwaka huu mateso na manyanyaso yataanza mapema sana
 

Ule upuuzi wa marefa kama nauona unavyoenda kujirudi.
 

Arsenal wake mezani na huyu mwamba, bado tunamuhitaji kwa misimu miwili
Huyu n mtu sana
 
Duuh. Sasa na Myles Lewis-Skelly na Gabriel wameongezewa mikataba. Saliba nae anafuata. Na tumechukua hiki chuma...

Sasa hawa wasiojua hawa akina Vitz sijui Mosala, Jaksoni na wazembe wengine kama akina Kolpama watakuwa wanapita wapi? Ni wazi kabisa marefa watahusika kuwasaidia maadaui watufunge, ila kimpira hakuna kima yeyote atakayeingia kwenye 18 yetu au hata kuzagaa zagaa maeneo ya karibu yake.
 
Kiungo na ukuta huko hakuna shida kabisa, tena naona cleansheets zitakua zakutosha
Nyumbu, kenge etc watakula kipigo cha mbwa, points 6 with cleansheets
 
Clinical finisher
Rw
Lw

Hapo arteta na beta watulize akili, watuletee watu wa kazi
 
Huyu dogo fabio anakitu kikubwa sana, ni aina ya midfielder kwenye pass 10, mbili tu ndio back pass
Shida ni kuwa mahitaji ya epl ni makubwa zaidi. Sijajua kama atakua matured enough

 
Kiungo na ukuta huko hakuna shida kabisa, tena naona cleansheets zitakua zakutosha
Nyumbu, kenge etc watakula kipigo cha mbwa, points 6 with cleansheets
Kidura kinaendelea, muda wa usajili tambo kibaaaooo, msimu uanze muanze kusifia overload na download, mwisho wa msimu holaaa. Mnarudi tena kwnye usajili tambo kama hizi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kidura kinaendelea, muda wa usajili tambo kibaaaooo, msimu uanze muanze kusifia overload na download, mwisho wa msimu holaaa. Mnarudi tena kwnye usajili tambo kama hizi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wacha maneno weweeee. Hapo saizi kina Kolpama wanajiuliza watakuwa wanapita wapi. Halafu tunaleta mmoja kati ya Gyokeres au Sesko...au wote tu, kwani shida iko wapi?...huku akina Badiashile nao wanajiuliza hii Arsenali ni nani wa kuizuia..?...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ