Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii kasi mngeanza nayo tangu 2nd half mngrkuwa mbali
Michezaji ilikuwa inapoteza muda na mpira mguuni
Haijali hata aggregate
 
Arteta nje anagombana na marefa juu ya muda utadhani aliombwa asisajili

Ndani Saka anakosa goli ye na nyavu
Arteta amefika level ya mwisho ya uwezo wake, timu inaanza kushuka kwa kasi

Tungekuwa na Forward WA maana nafasi tulizopata zinatosha kabisa
 
Mlipo watoa wale Malaya wa Sinza wa Spain mkajiona mna timu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…