Arsenal (The Gunners) | Special Thread

aggregate isipokuwa 4-2 au 4-3 kama jana sijui
Arsenyau kupata goli labda iwe penalty, ni vile tu Psg wameweka zaidi utu mbele, ila mpk tunaenda HT ubao ulikua unatakiwa uwe unasoma 3-0 nje ya aggregate.
 
Mupira wa wanaume munapeleka watoto na upinde Muna akili kweli, watoto wamevaa pampas wanaruka ruka kama ndama waliyokosa maziwa😭😭😭
Jiran wa Landon tuliaa psg akupee mmaaaa
 
Mwalimu mpaka sasa sina nongwa nae, ila tukubali tu tunahitaji world class palyers, namuangalia saka hapa, kisha namkumbuka yamal jana.. ni vitu viwili tofauti, huyu martineli ndio kabisaaa...
Game inashindwa na mbinu za mwalimu na ubora wa wachezaji. Huyu odegaard kwenye kupika ni mzembe sana, kuna moja kaingia ndani vizuri badala ya kushoot akaamua apasie pembeni 😏

Kuna siku nilisema hawa kina saka na martineli ni average players, mtu akaja kukataa mixer takwimu, ila huo ndio ukweli.

Ngoja tuone second half itakuwaje, kama wakichangamka pale goli 2 zinapatikana.
 
Barcola na Doue wakamatwe haraka ni MATAPELI yaani Dembele anaangalia anashangaa Kwa haya matundu Gonzalo Ramos angefunga hivi vitoto vimeharibu game.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…