Arsenal hamtakuja kupata timu kama hii na hata kufika nafasi kama hii msimu ujao itakua ngumu hata ikitokea mkasajili huyo namba mnaye mmiss pale mbele. Msimu ujao kila timu mbovu inarudi kwenye makali yake Madrid, Man City, Chelsea mtaweza kutoboa nyie?
Mnacheza soka safi ila hamkukutana na kipimo sahihi.