Nah, nurturing iwe kwaajili ya kuuza. We need finished articles kama tunahitaji trophiesSame story, the guy is good. He is underrated because he hasn't been given enough game time, so is Butler Oyedeji. Jana niliona kama akipewa muda wa kutosha, tusingekuwa tunatafuta ST. We shouldn't be moved by the big names, we have talents within club, they just need nurturing
Kuna member kasema Nico anakula 250K. Kama anapokea hii na mfano akija hapa akapokea hiyo tutaingia conflict ya Kai, kwakua anapokea kiasi kikubwa ni loss kumuweka bench.Retains Partey, retains Kiwior, retains Saliba, release Jorginho, bring Gyokeres. Kuna watu hawataleta timu.
Siafiki wazo la Zubimendi, Sesko na Dusan.
Nampenda Nico ila tatizo atataka kuanza badala ya Martinelli
Tukifanikiwa kubaki na Partey ni safi. Ila Zubimendi aje maana Jorginho anaondoka na naamini Zubimendi ni bora kuliko Jorginho na huenda Partey pia, kama siyo kulingana naye.Retains Partey, retains Kiwior, retains Saliba, release Jorginho, bring Gyokeres. Kuna watu hawataleta timu.
Siafiki wazo la Zubimendi, Sesko na Dusan.
Nampenda Nico ila tatizo atataka kuanza badala ya Martinelli
Vizuri kuwa nao, lakini when a team is star-studded, no one likes to come from the benchTukifanikiwa kubaki na Partey ni safi. Ila Zubimendi aje maana Jorginho anaondoka na naamini Zubimendi ni bora kuliko Jorginho na huenda Partey pia, kama siyo kulingana naye.
Kwa striker aje mmoja tu, iwe Sesko ama Gyokeres. Vlahovic hatuna shida naye kwa sasa. Then winger mmoja mchapa kazi na beki mmoja mzuri anayeweza kucheza nafasi zote za nyuma kama Tomiyasu.
Same story, the guy is good. He is underrated because he hasn't been given enough game time, so is Butler Oyedeji. Jana niliona kama akipewa muda wa kutosha, tusingekuwa tunatafuta ST. We shouldn't be moved by the big names, we have talents within club, they just need nurturing
Kama wataweza kuwa na attitude nzuri ya kupambania nafasi au kusaidia timu pale wanapoingia then ni vizuri. Martinelli alipoteza namba yake kwa Trossard msimu huu ila alipambana na Trossard alivyoshuka kiwango, akarejea kwenye nafasi yake.Vizuri kuwa nao, lakini when a team is star-studded, no one likes to come from the bench
Timu ina Richarlson na Solanke lakini big chances 4 na zote wamekosaHawa Tottenham sijui wanatakaje. Mpinzani wako wa North London Derby akiwa hoi sana nayo siyo poa.
Ila Aseno wajinga kweli.
Partey anapokea mshahara mkubwa kwetu. Huu ni msimu wake wa mwisho ila inawezekana ndiyo msimu alioweza kucheza mechi nyingi bila kukaa nje kwa majeruhi na kutonyesha uwezo wake vizuri katika miaka 4 - 5. Pamoja na kuwa bonge la chezaji, hatujaweza kufaidi uwepo wake ipasavyo kwa miaka yote hiyo. Ana miaka 31 (au zaidi) na anatafutwa na timu kadhaa, zikiwemo za Saudia. Ana fursa ya kutafuta mkataba wenye pesa nyingi akijipanga kustaafu. Kwa pande zote mbili (Arsenal na Partey), inaonekana ni bora akienda kwingine.Ila Aseno wajinga kweli.
Aston Villa anataka aingie top 4.
Man City anataka apande na kushika nafasa ya 3.
Je, Aston Villa ataweza kumshushia kichapo City kama kile cha Newcastle?
Je, Pep anaweza kumzidi ujanja mwiba wake Unai Emery?
Inawezekana ikawa mechi bora ya msimu. Kutakuwepo na GGAston Villa anataka aingie top 4.
Man City anataka apande na kushika nafasa ya 3.
Je, Aston Villa ataweza kumshushia kichapo City kama kile cha Newcastle?
Je, Pep anaweza kumzidi ujanja mwiba wake Unai Emery?
NEWCASTLE asiwepo? Au Chelsea asiwepo. Kiushindani hapo naona ni bora Chelsea asiwepo.timu zote ni nzuri ,city tangu atolewe CL na madrid.. hizi game za ligi zilizobaki ni kama pre season ndani ya msimu kwa pep kujipanga kuelekea msimu ujao na taratibu wanaanza kujipata.
next season in CL ,aston villa ningependa wawepo pia.. city ,arsenal pamoja na liverpool wanaenda kutoa good competition.
Chief kushoot haihitaji kua fit 100%Odegaard is expected to under go surgery at the end of the Season, he's still playing under pain from his previous hamstring injury that seems didn't heal well
Arsenal can't let him under go surgery now, as he's considered a vital player in the current squad!
Castr nilikuambia huyo jamaa anacheza kwa ku-struggle ila classic ya odegard tunaijua
View attachment 3312404
Ode anahitaji surgery kama mbili, hamstring na ankle na zote Arsenal wanategea mpaka msimu uishe ili asaidie saidie kidogo timu.Odegaard is expected to under go surgery at the end of the Season, he's still playing under pain from his previous hamstring injury that seems didn't heal well
Arsenal can't let him under go surgery now, as he's considered a vital player in the current squad!
Castr nilikuambia huyo jamaa anacheza kwa ku-struggle ila classic ya odegard tunaijua
View attachment 3312404
Huyu mhamasishaji hatimaye amerudi, haya kwa haraka haraka tupe report ya LISUPA KOMPYUTA.Msimu ujao nitajitahidi nifike Emirates
Pale Emirates ukienda kuna vibe flani tofauti na duniani kote...
Kabla ya mechi kuanza, utasikia ile "The Angel" inavyopigwa—emotional sana!
Kisha mashabiki wote wanainuka na kuimba kwa nguvu:
"North London Forever...
Whatever the weather..."
Halafu ghaflaaaa!
"And it's Arsenal!
And it's Arsenal FC!
We're by far the greatest team
The world has ever seen!"
Ukikaa Clock End, utasikia sauti zikipasua anga:
"Ole ole ole...
We won the league at Anfield,
We won it at The Lane,
Stamford Bridge, Old Trafford...
No one can say the same!"
Kabla hujaondoka, mashabiki wanakuletea mdundo mwingine:
"We have got Super Mikel Arteta,
He knows exactly what we want,
Tierney at the back,
Gabby in the attack...
Arsenal! We're in the Champions League!"
Na bado hujasikia:
"Gabriel Martinelli!"
"Du du du... Saliba!"
"I like Saka and Emile Smith Rowe!"
Na moto wa hivi sasa:
"Kai Havertz scores again!" Cobra Kai style!
Oyaa siku moja tu...
Nitakaa North Bank!
Na iwe mechi ya Nyumbu
Tufanye jiji lote litetemeke!
Up Gunners!
Once a Gunner, Always a Gunner!
COYG – Co
me On You Gunners!
🔴⚪️ Victoria Concordia Crescit 🔴⚪️