Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Narudia tena.

Hichi kipindi cha kwanza kimewakumbusha Madrid kwamba walikua sahihi kumchekecha Odegaard na wako sahihi kumhitaji Saliba
Odegard tangu arudi injury bado hajakua fit, ana struggle zana kucheza ambao alituzoesha
Have respect kwa Odegard
 
Arsenal toeni matozi wa Madrid hawa,hakuna cha comeback wala nini.
Wamekariri maisha hawa Madrid,leo ni Out
 
Penati za Saka hazina tofauti na Aziz Ki. Kipa akiotea upande lazima aipangue.

Wanapiga chini, wanapiga karibu na kipa.
 
Hata kushuti ni swala la kua fit?
Huwez jua, ku-shoot inahitaji timing na ndio kitu bado ana struggle nacho, sio kama hawezi
Huoni ata kutafuta mashimo yupo hovyo, hana penetration pass za hatari
 
Timu ambayo imekaa wiki nzima ikisema inatakiwa kupata goli dakika 15 za kwanza haijapiga shot on target dakika 52 zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…