Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Madrid mwanzo alitest kumuweka Modric.

Safari hii kamuweka Tchouamen halafu anacheza 4 2 3 1.

Tchouamen situational awareness siyo nzuri sana ila ni chance creator mzuri. Sioni akileta tofauti ya kiasi cha kumuona Modric alikua mzigo.

We are fucking winning this
 
Kwa kuongezea kumtoa Modric.

Amemleta Valverde kati.

Vazquez amewekwa kulia.

Valverde akizinduka labda leo ni scorer wa bangers and that's it.

Vazquez amekuja kuoffer experience. Last match aliingia dakika ya 71 na hakuoffer much
 
Leo mimi shabiki wa Barca kindakindaki nashabikia Arsenal ili imalize biashara mapema. Hao jamaa tusiruhusu wafike nusu. Best wishes the Gunners.
 
Tukiingia kama tulivyoingia nao last week tunaweza kufanya maajabu. Tukiingia kama na Brentford juzi tutawapa nafasi ya kutuumiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…