Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Labda alikuwa na uchovu kiasi. Vini Jr wa jana si yule tuliyemzoea.
 
View attachment 3297401
Mzunguko wetu unaendelea leo tuko hapa
Kama Arsenal ina mid players na iko nafasi ya pili kwenye ligi huku ina majeruhi 10+ na iko njiani kwenda nusu fainali CL basi tusubiri siku Arsenal ipate world class players kama Nyumbu ili ichukue kabisa makombe. Ni bahati mbaya nyumbu wapo nafasi ya 15 msimu wa nne mfululizo.
 
Jmani inamana niko peke yangu humundani shabiki wa Arsenal?

Siasa kila wakati inaboa jama

Hii JF inatunza record za kihistoria vilivyo . Wakati uzi huu na comments hii inawekwa hapa JF nilikuwa daresa la kwanza. Kama bado upo humu mkuu wanagunners typo wengi
 
THIS IS DECLAN RICE GAME! Rice with an even better hit! Arsenal 2-0 Real Madrid



 
Last time umeona Arsenal kafungwa 3 ni lini?

Lakini kwakua mpira ni mchezo ambao una magic moments nyingi tusirule out. Liver alishafanya hivyo kwa Barca.

Mashabiki wengi naona wanasema tukifika Bernabeu mwendo ni haram football. Hili formation walishapigiwa timu kibao mpaka wakaenda kusema.

Lakini mimi naamini kwa kipindi hichi hua tunacheza vizuri dhidi ya timu ambazo zinafunguka. Ndiyo sababu naona hali yetu hua inakua ngumu kama timu tunayocheza nayo ikaamua kufanya low block.

Hence, kwa hapa tulipo nahofia Inter coz alitunyoosha huku akifocus na low block. Same na Villa.
 
Hivi hatuwezi vunja bank tuchukue yule msomali wa Newcastle aisee???? Yule mwamba ni finisher mzuri mno!
Kroenke's wameshasema hawana pesa za kuchezea hovyo, wanadai huyo Moringo wenu ni bora zaidi kuliko hata huyo msomali, hivyo dirisha kubwa la usajili wanasema hawaoni sababu yoyote ya kusajili foward.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…