Ndugu yangu Masingeli Cha-mbuzi nguli la soka lenye leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi, A chief executive officer of hamis77 Integrated Investment Co. LTD wakati tunasubiria masaa machache kuelekea game yenu dhidi ya Madrid tunakuomba utie false hopes zozote zitakazo leta faraja kwa mashabiki wa Asno, maana mpaka dakika hii naona mashabiki wote humu tayari wameshajikatia tamaa, wanatamani bora wangetolewa mapema kuliko hii fedheha na dhahma wanayoenda kukutana nayo dhidi ya kina Mbappe.