Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Castr point yangu si nyinyi kucheza uefa ila ni uhakika kuwa mmeamua kukimbilia kwenye league ya mademu kujiliwaza ambapo mpaka huko nako mwaka huu mnatoka empty si league wla uefa women champions league
Halafu pia angalia timu ya wanawake ya Newcastle iko daraja la ngapi, na nafasi ya ngapi katika daraja hilo...
 
Hivi mnajua goli la Nwaneri dhidi ya man city zilipigwa pasi 36 mpaka goli likafungwa
 
Ma false hopers bana, yaani ww una hesabu pasi badala ya makombe.
Hivi unajua arsenal ina miaka 22 haijawahi kuchukua epl.
Tuuzieni Isak mkuu🀠🀠🀠....naona kijana kagoma kusaini mkataba mpya....anaona pale anapoteza mda.....kujitutumua kote na mwaka huu tena anaambulia Carling....no uefa qualifications
 
Tuuzieni Isak mkuu🀠🀠🀠....naona kijana kagoma kusaini mkataba mpya....anaona pale anapoteza mda.....kujitutumua kote na mwaka huu tena anaambulia Carling....no uefa qualifications
Uefa mbona tumo, dogo atulie pale st james abebe makombeπŸ˜†, arsenal hatuwezi kuwauzia mashine kama ile hilo hapana na haliwezekani bora tuwape barca lakini sio false hopers.
Dogo atapigwa mkataba wa maana anatulia pale ni kwa matajiri haswa si nyinyi na mishahara yenu ya kina sendoros πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unaweza ukabahatika kumfunga Lyon, ila unajua udhalilishaji unaoenda kuupata fainali? au mnajisahaulisha manaenda kukutana na nani? Nyie Arse88 mmeumbiwa kuteseka hamna namna mnaweza kupata furaha! Sio kwa wanaume sio kwa wanawake.
 
Unaweza ukabahatika kumfunga Lyon, ila unajua udhalilishaji unaoenda kuupata fainali? au mnajisahaulisha manaenda kukutana na nani? Nyie Arse88 mmeumbiwa kuteseka hamna namna mnaweza kupata furaha! Sio kwa wanaume sio kwa wanawake.
Unajua kama Arsenal Women ni English team pekee iliyochukua hilo kombe?
 
I like Zubimendi, namuona kama Andrea pirlo ajaye, napenda sana midfield maestro, that's what Partey misses in his game.
 
Zubimendi + Rice alafu tumpate no.10 mkali zaidi ya Ø na tumsajili Isak, hivi unaachaje kuangalia mechi ya Arsenal msela wangu!
Mkuu kuwa na heshima basi , yaan dogo anabeba makombe huku Newcastle tabasamu kibao then aje kubeba saa hapo false hopuni πŸ˜‚πŸ˜‚.
 

Attachments

  • IMG_2662.jpeg
    1.4 MB · Views: 10
The end, the end. Make sense of that. Where on earth are we now? A night of dismay.

"A night of hope lost and restored. A night of salvation. A night of despair and elation. A night of such raw emotion. And at the end of it all, curiously, we are where we started.

"A goal in the very first minute, so nearly a winning goal in the 100th minute. At times Arsenal seemed broken. At times the Saints seemed utterly alive and now they are both suspended amid disbelief."

False hopers mnaikumbuka hii siku?. Hii ndo siku nilijitoa rasmi false hopuni πŸ˜‚. Nembu false hopers kina castr, mkorea, henry na arsenal 2004 kaisikilizeni tena vile peter dury alivyokua anasema na kina saka , gabriel , mwanangu nelson na ben white wanagaragara chini it was sad moment kuliko hata 2006 final ya uefa.
 
Arsenal 3:3 soton hii ndo match niliamini kabisa arsenal hatakaa abebe EPL kwa miaka 100 ijayo πŸ˜†. Ni bora man utd na chelsea wanaojitafuta huko watajipata na watabeba makombe zaidi ya mara moja huku arsenal akiwa patupu .

Kabla ya hii game arsenal alikua ametoka kusare game mbili nyuma ambazo zote alikua anaongoza 2:0 , ndo ikafika hii game sasa ramsdale kachoma nikaona mpira wavuni.
Hatujatulia kidogo akapewa mwanetu walcot daah bila hiyana akapiga kama henry vile chuma cha pili bora angeona hata huruma akapaisha πŸ˜‚.

Zincheko nakumbuka akawaita watu wote katikati ya dimba wakazunguka mduara sijui akawaambia nini vile goli 1 likarudi si unajua harakati za false hopes zilivyo. Tukajua ushindi upo hapa kama Bournemouth vile 3:2
Mara chuma cha tatu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ watu hawaamini pale pale emirates.

Game inaisha 3:3 refa anapuliza kipenga naona ben white , odergard, magnales wakajitupa kama mizigo saka anachuchuma haamini , Southampton team ya mwisho ndani ya emirates match ya kuamua ubingwa lakini bado holla!!! Halafu leo kina mkorea na castr bado wanaamini watabeba ubingwa au uefa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Mnabidi mjipige vifuani mara 21 mkikiri β€œ naam sisi ni false hopers tumekosa tusamehe eeeh BABA” maana hii imani mngeipeleka kwenye dini saivi mngekua mmetwaliwa kama nabii eliya na si kufaπŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…