Daah. Mimi kombe moja tangu 2021 na wewe kombe moja tangu 1955...tunafanana kweli? Au basi tusaidie kutuambia ndani ya miaka 10 (tangu 2014) tu hapo, nyie na sisi tunavikombe vingapi hivyo domestic? Usihesabu Community Shields.England kuna 3 domestic cup : EPL, FA na carabao cup. Team yoyote ya england lazima iwe ina hamu na makombe hayo 3, ukikosa epl basi chukua FA na ukiikosa basi chukua carabao cup.
Sasa asenali kati ya hayo yote imetoka patupu tangia 2021 mpaka leo hii kombe pekee waliloshangilia ni ile saa ya highbury .
Mbona hii imekaa kama tulikuwa tumeshika community shield baada ya kumchapa Man C115y lakini wenye wivu na chuki wame edit na kuweka ile saa yetu ?Hivi hapa kina henry, mkorea, castr, arsenal 2004 na wengine kina will jr hivi hapa mlikua mnashangilia nini 😂😂😂😂 , tukisema mnasema tunawaonea
Salute brother.Sema mkuu we mtu poa sana, sijawahi kukuona ukitoa comment negative na kukimbilia kwenye personal attacks yaani ni mzee wa kuchukulia mambo kawaida nakufananisha na Captain Marvelous kule jukwaa letu la liverpool.
2014 huko mimi nilikua false hoper kama wewe tuanzia miaka 3 nyuma 😀 ,Daah. Mimi kombe moja tangu 2021 na wewe kombe moja tangu 1955...tunafanana kweli? Au basi tusaidie kutuambia ndani ya miaka 10 (tangu 2014) tu hapo, nyie na sisi tunavikombe vingapi hivyo domestic? Usihesabu Community Shields.
Hii si edit hii ilikua after game ya Bournemouth au man utd 😂😂😂😂 muda mwingine asenali yaani mnabeba saa meno yote nje je mkichukua carabao kama sisiMbona hii imekaa kama tulikuwa tumeshika community shield baada ya kumchapa Man C115y lakini wenye wivu na chuki wame edit na kuweka ile saa yetu ?
😀 😀 😀
😂😂😂😂😂😂Hivi hapa kina henry, mkorea, castr, arsenal 2004 na wengine kina will jr hivi hapa mlikua mnashangilia nini 😂😂😂😂 , tukisema mnasema tunawaonea
Tukisema hii team ya watoto (boys) wanaona kama tunawaonea just imagine dogo janja kama rodyrgo anapiga picha na kombe la UCL halafu jitu zima kama partey limeshikilia saa linashangilia.😂😂😂😂😂😂
😀😀😀 daaah basi sikuona hii. Itakuwa ni tukio lililotupa furaha sana mizuka ikapanda tukaona saa tukaifananisha na community shield. Ila yote kwa yote, furaha ni muhimu, na muda si mrefu hapa tunanyanyua makombe.Hii si edit hii ilikua after game ya Bournemouth au man utd 😂😂😂😂 muda mwingine asenali yaani mnabeba saa meno yote nje je mkichukua carabao kama sisi
Kwa hiyo tusianzie hata 2020 tulipobeba FA Cup? Hutaki makombe yoyote ya Arsenal, unataka yale ya Newcastle tu? Je tuanze kuhesabu kuanzia sasa kwenda mbele tuone nani atabeba makombe mengi miaka 10 ijayo?2014 huko mimi nilikua false hoper kama wewe tuanzia miaka 3 nyuma 😀 ,
Usikasirike nigga kwakua chelsea hakuna aliyeitwa. Ni update za kinachoendelea international break, ndiyo maana kuna ripoti ya majeruhi pia.
Hii si edit hii ilikua after game ya Bournemouth au man utdmuda mwingine asenali yaani mnabeba saa meno yote nje je mkichukua carabao kama sisi
Mkuu unapokua unaangalia movie za Netflix inabidi uwe mvumilivu pale tunapokuambia subiria next season.Tupate tangazo kidogo.View attachment 3282913
Wanaonesha channel ipi dstv?Arsenal vs Real Madrid next in 2 minutes
Angalia upyaAseno kabanjuliwa huko 3
Waooooh!!!!Tumechomoa zile mbili!!!!Wanawake wetu washawatoa wanawake wa Madrid huko. Semi final itakuwa na Lyon ambao nakumbuka walikuwa maarufu kwa kupiga ball hatari. Kila la heri kwa Arsenal, tufike fainali.
Kazi ipo kwa timu ya wanaume pia sasa.