Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,327
- 3,966
Acha tuwapige spana hawa ma false hopers, 2023 walivyokosa wakasema ni pressure ya wachezaji kutokua na uzoefu wa kupambania ubingwa, 2024 wakasema tatizo ni pep ππ akiondoka tu watatawala sana epl kwa zaidi ya miaka 10.We jamaa una spana za moto.
Toa neno UEFA hapo tafadhali kaka , kuwa na heshima na UEFA hio false hope sijui ya uefa cup winners hii hatuitambui kabisa na sisi mimi tu hata hao UEFA hawaitambui.
Ndio maana kwenye list ya uefa champion winner arsenal haipo ila wanangu wa unai emery Aston villa wapo .
Sema mkuu we mtu poa sana, sijawahi kukuona ukitoa comment negative na kukimbilia kwenye personal attacks yaani ni mzee wa kuchukulia mambo kawaida nakufananisha na Captain Marvelous kule jukwaa letu la liverpool.View attachment 3278363
View attachment 3278367
Waswahili wanakamsemo kao, 'hizo siyo shida zetu' . Hilo kombe ndiyo limeunganika na UEFA Cup ama Europa.
Mahindano yalikiwepo misimu mingi. Tulishiriki. Tulishinda. Parade tulifanya. Historia na ukweli haubadiliki. Kama wewe unafurahi kwa kushinda Carabao, kikombe kidogo Uingereza, sembuse mimi niliyebeba kikombe kidogo Ulaya...
Na huu ni mwanzo tu (miaka 30 hiyo π ) mengine yatakuja tu.
Waswahili pia wanasema 'One day yes.
Shukran mkuu. Mpira burudani tu.Sema mkuu we mtu poa sana, sijawahi kukuona ukitoa comment negative na kukimbilia kwenye personal attacks yaani ni mzee wa kuchukulia mambo kawaida nakufananisha na Captain Marvelous kule jukwaa letu la liverpool.
Ni sahihi mkuuShukran mkuu. Mpira burudani tu
Hio mbona tayari, tunasubiri kuona tu kwa macho ila ki uhalisia tayari liverpool bingwa tena mapema as long as arsenal ndo anamkimbiza liver.kimasihara mtampigia livakuku gwaride la heshima π€£
Mbona kama muda umeenda sana mkuu HENRY14 maana hata wachezaji walivaa jersey zisizo na majinaView attachment 3278363
View attachment 3278367
Waswahili wanakamsemo kao, 'hizo siyo shida zetu' . Hilo kombe ndiyo limeunganika na UEFA Cup ama Europa.
Mahindano yalikiwepo misimu mingi. Tulishiriki. Tulishinda. Parade tulifanya. Historia na ukweli haubadiliki. Kama wewe unafurahi kwa kushinda Carabao, kikombe kidogo Uingereza, sembuse mimi niliyebeba kikombe kidogo Ulaya...
Na huu ni mwanzo tu (miaka 30 hiyo π ) mengine yatakuja tu.
Waswahili pia wanasema 'One day yes.
Yaan nyie ni kondoo, ndio vitu mnajua kuvishabikia, ila ubingwaa aaah!Myles, youngest scorer in history in his senior debut
Usikasirike nigga kwakua chelsea hakuna aliyeitwa. Ni update za kinachoendelea international break, ndiyo maana kuna ripoti ya majeruhi pia.Yaan nyie ni kondoo, ndio vitu mnajua kuvishabikia, ila ubingwaa aaah!
Unauhakika chelsea hakuna aliyeitwa? Hivyo vya kushabikia mchezaji aliyeitwa mnavyo nyie misukule ya arteta.Usikasirike nigga kwakua chelsea hakuna aliyeitwa. Ni update za kinachoendelea international break, ndiyo maana kuna ripoti ya majeruhi pia.
Tears all overUnauhakika chelsea hakuna aliyeitwa? Hivyo vya kushabikia mchezaji aliyeitwa mnavyo nyie misukule ya arteta.