[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tafuteni kocha wa kueleweka,This time next week Arsenal itakua imepata Director in the name of Berta.
Nafikiri hii inamaanisha bado Arsenal na Arteta tuna safari ndefu.
πππPaundi Mia naa hiyo iko imeganda kwa hewa.
View attachment 3265403
Kupata vichekesho hivi na vingine piga *148# kisha chagua Arsenyo. π€£π€£π€£π£οΈ Declan Rice on if the title race is over: βItβs not over yet, we need to keep pushingβ¦ we are Arsenal!β π€
Declan Rice: β2nd half we did things we havenβt done all season. It was very naive in the last 10 minutes and we could have easily handed the game to Man United. A bit of stupidity from us.β
Sawa Arsenal2004[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tafuteni kocha wa kueleweka,
Tetea sio kocha, yule ni mwalimu wa mazoezi ya viungo. View attachment 3265431
Watakuja kukupinga,,,,!Kuna watu wanadhani Arteta kumpanga Odegaard labda haoni mapungufu yake, ni hivi Odegaard alisajiliwa km project lkn amegeuka kuwa a disappointment, kupata regular spot ni kwamba there's no replacement, mbadala wake ni fabio viera ambaye naye ni project, lkn within the next two seasons simuoni akiwa mchezaji wa Arsenal. Kwa sasa kiufundi Odegaard ana umuhimu kwenye maeneo mawili, build up na press lkn kwenye zone yake he is a liability, maana yake kwa ujio wa physical ST km Isaak, Osimhen or Sesko na an orchestra #6 kama zubi, Odegaard anakuwa useless in the team, utahitaji no.10 ambaye ni more creative, mwenye transitional threats, goal scoring ability, kubwa zaidi ball striking ability.
Ninyi pimbi mpo ?Umeamua kuitukana id yako
Kenge maji on airNinyi pimbi mpo ?
Yaani Chelsea hatuna timu msimu huu ,ila ninyi kenge wekundu nashangaa kwanini kula msimu mnaishia kunengua tu na kuishia mikono mitupu mwisho wa msimu ,False hopers
Fukuzeni huyo kibaka Arteta
πππππPaundi Mia naa hiyo iko imeganda kwa hewa.
View attachment 3265403
Daaaaaaah!!! Naona unawasagia kunguni tu.[emoji2969][emoji2969][emoji2969] Nawaombea Nottingham, Chelsea na Mancity washinde mechi zao zote zilizo salia ili Arsenyau amalize ligi nje ya top4.View attachment 3265100