Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,125
- 7,525
Kabla ya kusajili Striker inatakiwa kwanza Odegaard auzwe, tupate no 10 mkali mithili ya Wirtz, akiambatana na Zubimendi na Striker mkali km Isaak matatizo yote yanaisha. Bruno Fernandes leo amefundisha somo zuri how to play as a #10 lkn ndugu yangu just uwezo ndio umeishia pale.