Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tafuteni kocha wa kueleweka,,,, Arteta sio kocha wa ubingwa,,, kuanzia akiwa mchezaji na now kocha hana mafanikio yoyote ya maana ,,,, ile Spain(golden generation) 2009-2013 arteta hajawahi hata kusogelea akafagie uwanja wa mazoezi ,,, kidogo alionja ladha ya mpira(vikombe) akiwa city na pep
 
Unataka ubingwa na Saka ? Martineli mfukuza upepo, Trossard kichwa panzi ? ,,,, eti Skelly LB mchukue EPL na UEFA! inverted wetu Zinchenko imekuwaje tena ?
 
WC walioko arsenal ambao wanaweza kupambania ubingwa EPL na UEFA ni Saliba, Raya , Gabriel M, Rice ni inconsistent maji kupwa na kujaa, Leo akiamka vizuri anakiwasha kesho anatoa boko,,,, recently ana performance mbovu sana !
 
Sterling mnamlipa mshahara ama mnashare na Chelsea? Huyo anatakiwa awe mfanya usafi wa dressing room! ! Huu ni utapeli mkubwa sana mmefanyiwa na wanalandani wenzenu ,,,,, match ya juzi kati Merino kaotea golf mbili, jana Arteta alivo kichwa panzi kampanga CF huku akizungukwa na Nwaneri na Trossard! Kichekesho hiki, timu inataka ubingwa!
 
Timu ya kawaida tu kama villa imewazidi kila kitu kuanzia management, benchi la ufundi hadi wachezaji ,,,, hivi ni mchezaji gani pale villa Park hapati namba kwenye hii arsenal ? Tuwataje ama ? Kina Watkins, Asensio, martinez(kijana wenu), Rashford, Onana, Morgan , etc !!
 
Napenda inapotokea watu mnaaminishwa mlichonacho ni bonge la deal kisha inabounce.

Kama ambavyo nyumbu waliamini Casemiro ni dawa, au Maguire, au Yoro, au Mount, au Sanchez, au Onana, au Dalot, au Pogba, ndiyo nilivyoona watu walivyompokea Merino.

Na memes wakazitunga. Binafsi sioni kama shida haswa ilikua ni Merino kuwekwa pale kwakua formation waliyotumia Westham ndiyo formation ambayo msimu huu kila anayetumia atapata suluhu au atatufunga.

Bila kujali tupo na ST au hatuna.

So, tatizo ni lile lile? Ndiyo. Too much reliance kwenye pattern mpaka unazika individual brilliance
 
Kocha umbwa mkubwa huyu.
 
😁 Castr
IMG_20250223_153113_874.jpg
 
Wapuuzi walimfelisha Wenger, sasa hivi wanamfelisha Arteta.

Kichekesho ni kwamba, Arsenal ikiachana na Arteta Arsenal itachelewa kupata kocha mzuri ila Arteta hatochelewa kupata timu nzuri
 
Wapuuzi walimfelisha Wenger, sasa hivi wanamfelisha Arteta.

Kichekesho ni kwamba, Arsenal ikiachana na Arteta Arsenal itachelewa kupata kocha mzuri ila Arteta hatochelewa kupata timu nzuri
Katika hao wapuuzi waliomfelisha Wenger mmoja wao ni huyo Arteta.
Jinsi Arsenyo mlivyo wapuuzi mkamchukua huyohuyo mpuuzi aliemfelisha Wenger mkamfanya kua ndio kocha wenu halafu mkategemea awe na mafanikio makubwa kuliko Papaa Wenger
 
Hapa umeandika kama Flano au Arsenal2004?
 
Hapa umeandika kama Flano au Arsenal2004?
Kwa hio sasa hivi kila shabiki wa Arsenyo atakaeiita timu yake Arsenyau au atakaemkandia Tetea ni Flano?
Basi Flano watakua wengi sana humu, halafu huyo Masingeli's chawa arsenal2004 lilivyo ngese linakausha kimya ili ionekane ni kweli nina multiple Id humu.
Kwa style hii basi Id zote za kina Ulimakafu kina computerarsenal Will Jr verifaidi yuza Smith Rowe na wengineo wote wanaomkandia Tetea humu ni Id za Flano babalao.
 
Back
Top Bottom