Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,701
- 13,671
Hata zile za West Ham, Fulham, Everton to mention few.Ile mechi ya juzi kati na Forest iliniuma sana, niliikumbuka falsafa ya Ferguson ya winning spirit, makombe hayawezi kuja kwa lelemama.
Hata zile za West Ham, Fulham, Everton to mention few.Ile mechi ya juzi kati na Forest iliniuma sana, niliikumbuka falsafa ya Ferguson ya winning spirit, makombe hayawezi kuja kwa lelemama.
Itatuchukua muda sana arsenal kupata kikombe cha ligi.Ile mechi ya juzi kati na Forest iliniuma sana, niliikumbuka falsafa ya Ferguson ya winning spirit, makombe hayawezi kuja kwa lelemama.
Sahihi kabisaItatuchukua muda sana arsenal kupata kikombe cha ligi.
Kumbe lilikuwa ni suala la muda tu, haya mmefika wapi?Nyie KENGE MAJI, wakati wenzenu weekend hizi tunacheza haya mashindano ya FA na EFL nyie mnakuwa wapi? Mnajificha wapi?
Yaani unakaa wiki nzima timu yako haijacheza hivi mnajisikiaje?
Au mida hii mbakuwa kwa michepuko yenu maana ndio kitu pekee mnaweza.
Kuna kila dalili unaweza kufa bila kushuhudia epl au uefa ikibebwa na arsenal ,nimelia sanaItatuchukua muda sana arsenal kupata kikombe cha ligi.
Nakataa hiyo😂Kuna kila dalili unaweza kufa bila kushuhudia epl au uefa ikibebwa na arsenal ,nimelia sana
Ujumbe mzuri kwenu Gunners
View attachment 3258368


Asaninyau hakuna rangi wataacha kuona, yaani wanasimangwa mpaka na Joshua Kitale. Nyie timu zenu mnamatumaini ya kumkamata Arsenal?Tumeshauanza mwezi wa 3, vipi wana Arsenoo bado mnamatumaini ya kuwakamata Liverpool
Arteta angebeba hata kokolo mojawapo ambalo ni striker, lakin kuanza kumfanya merino ndo striker wetu aisee.Arsenal ni kama kichekesho, sometimes mnatia huruma ! Forward Line ya nwaneri, trossard na Merino ndio mnategemea kubeba nayo UCL na EPL ? Kichekesho cha mwaka,,,, ! Sina shida na waholanzi Leo, mtawapiga labda mshindwe tu,,,, vp huko mbele mtatoboa ? Tuje benchi sasa wako kina sterling, ,,,