Tetea na Masingeli IQ zao zinafanana, hawa wote ni Motivational speaker sio makocha, ingawa Masingeli anajidai humu kua ana leseni ya Fifa daraja A toka Zurich Uswiswi.
Tetea ni Eric Ten Hag anayevaa Modo, Hawezi kuwafikisha Asenyo popote.
Kila msimu wenzao wanabeba makombe halafu wenyewe wanabaki kua wapenzi wasindikizaji.
Naomba kuuliza na wala sio kwa ubaya washindani wetu wa karne mbili zilizopita; mapungufu ya zinchenko kwenye muundo wa inverted full back yalionyesha kasoro gani hadi arteta akaamua kwenda na Calafiori?
cc Castr

Zinchenko alikua ana majeraha ya mara kwa mara lakini pia ilifikia muda ikawa upande wake ukishambuliwa anakua exposed kua hayupo vizuri defensively. (too bad Calafiori ni weak hapa kwa % fulani)

@hamis77 huyu jamaa alikuwa anawadanganya sana humu.
Hivi sasa anapiga propaganda zake kwenye Jukwaa la Dini ana wahubiria watu huko eti Ujio wa Mtume upo karibu.