Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,888 Reaction score 7,079 Nov 2, 2011 #16,181 Mphamvu said: kama ndo ivo hata kouassi si ameachia mipira mingi sana ndani ya box? nae hastahili starting xi? Click to expand... huyu dogo jenkinson bado sana! Kuanza kwenye timu kubwa kama arsenal
Mphamvu said: kama ndo ivo hata kouassi si ameachia mipira mingi sana ndani ya box? nae hastahili starting xi? Click to expand... huyu dogo jenkinson bado sana! Kuanza kwenye timu kubwa kama arsenal
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,345 Nov 2, 2011 #16,182 kasi ya kushambulia imepungua kwa ars8, ni kama wanajilinda zaidi! na marseile wanakuja kwa kasi. metsacker anaokoa pale!
kasi ya kushambulia imepungua kwa ars8, ni kama wanajilinda zaidi! na marseile wanakuja kwa kasi. metsacker anaokoa pale!
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,345 Nov 2, 2011 #16,183 Jordan ayew anatoka, gicnac in for marseile!
Questt JF-Expert Member Joined Oct 8, 2009 Posts 3,010 Reaction score 422 Nov 2, 2011 #16,184 OM wanakuja kila dk..... tunaonekana kuchoka sana wakati tumefanya sub za kutosha sana....
Questt JF-Expert Member Joined Oct 8, 2009 Posts 3,010 Reaction score 422 Nov 2, 2011 #16,185 Hii 2nd half ndo tumeharibu kabisa... Hatuwezi kumili mpira hata kwa dk moja?????
A Africana Jr. Senior Member Joined Apr 14, 2011 Posts 123 Reaction score 17 Nov 2, 2011 #16,186 Mphamvu said: kasi ya kushambulia imepungua kwa ars8, ni kama wanajilinda zaidi! na marseile wanakuja kwa kasi. metsacker anaokoa pale! Click to expand... una ugonjwa gani ww? Au bado mabao ya City yanakulevya?
Mphamvu said: kasi ya kushambulia imepungua kwa ars8, ni kama wanajilinda zaidi! na marseile wanakuja kwa kasi. metsacker anaokoa pale! Click to expand... una ugonjwa gani ww? Au bado mabao ya City yanakulevya?
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,888 Reaction score 7,079 Nov 2, 2011 #16,187 Ramsey wakulaumiwa leo!
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,888 Reaction score 7,079 Nov 2, 2011 #16,188 Labda rvp atatunyanyua hii foul.
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,345 Nov 2, 2011 #16,189 Africana Jr. said: una ugonjwa gani ww? Au bado mabao ya City yanakulevya? Click to expand... naona una hamu mtoto wa kiume! mimi naripoti kinachotokea uwanjani!
Africana Jr. said: una ugonjwa gani ww? Au bado mabao ya City yanakulevya? Click to expand... naona una hamu mtoto wa kiume! mimi naripoti kinachotokea uwanjani!
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,345 Nov 2, 2011 #16,190 Game over! goalless draw @emirates!
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,888 Reaction score 7,079 Nov 2, 2011 #16,191 Ft: 0-0
Questt JF-Expert Member Joined Oct 8, 2009 Posts 3,010 Reaction score 422 Nov 2, 2011 #16,192 Draw sio mbaya... Ila generally tumecheza hovyo..... Hovyo kabisa,,,
facebook Senior Member Joined Jun 25, 2011 Posts 198 Reaction score 36 Nov 2, 2011 #16,193 Questt said: Draw sio mbaya... Ila generally tumecheza hovyo..... Hovyo kabisa,,, Click to expand... Wenger kapanga tim hovyo hovyo na kafanya substitutions hovyo hovyo
Questt said: Draw sio mbaya... Ila generally tumecheza hovyo..... Hovyo kabisa,,, Click to expand... Wenger kapanga tim hovyo hovyo na kafanya substitutions hovyo hovyo
Viper JF-Expert Member Joined Dec 21, 2007 Posts 3,666 Reaction score 1,406 Nov 2, 2011 #16,194 game ilikuwa nzuri defence yetu naona imekuwa solid ... sioni kwamba wenger ni wa kulaumiwa wapinzani wetu pia walikuwa na defence nzuri ...
game ilikuwa nzuri defence yetu naona imekuwa solid ... sioni kwamba wenger ni wa kulaumiwa wapinzani wetu pia walikuwa na defence nzuri ...
TONGONI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2011 Posts 1,041 Reaction score 375 Nov 2, 2011 #16,195 Sio matokeo mabaya sana,katika soka mara nyingi ni vigumu kuwa na mechi mbili mfululizo katika kipindi kifupi na kufanya vizuri mechi ilyopita imekuwa na Impact na matokeo ya leo nadhani hata tukitazama matokeo ya Chelsea vs Genk hili tutaliona.
Sio matokeo mabaya sana,katika soka mara nyingi ni vigumu kuwa na mechi mbili mfululizo katika kipindi kifupi na kufanya vizuri mechi ilyopita imekuwa na Impact na matokeo ya leo nadhani hata tukitazama matokeo ya Chelsea vs Genk hili tutaliona.
Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 8,635 Reaction score 2,209 Nov 2, 2011 #16,196 Msimamo wa kundi letu ukoje sasa? Manake Dortmund wameshinda.
Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 8,635 Reaction score 2,209 Nov 2, 2011 #16,197 Kundi bado limekaa vibaya game ilikuwa muhimu kushinda. Arsenal 8 Marseille 7 Dortmund 4 Olympiacos 3
Kundi bado limekaa vibaya game ilikuwa muhimu kushinda. Arsenal 8 Marseille 7 Dortmund 4 Olympiacos 3
facebook Senior Member Joined Jun 25, 2011 Posts 198 Reaction score 36 Nov 2, 2011 #16,198 Arsene Wenger said: Kundi bado limekaa vibaya game ilikuwa muhimu kushinda. Arsenal 8 Marseille 7 Dortmund 4 Olympiacos 3 Click to expand... Bado kundi ni gumu. Tungeshinda leo tungekuwa tumejiweka kwenye nafasi nzuri sana
Arsene Wenger said: Kundi bado limekaa vibaya game ilikuwa muhimu kushinda. Arsenal 8 Marseille 7 Dortmund 4 Olympiacos 3 Click to expand... Bado kundi ni gumu. Tungeshinda leo tungekuwa tumejiweka kwenye nafasi nzuri sana
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,888 Reaction score 7,079 Nov 2, 2011 #16,199 Arsene Wenger said: Kundi bado limekaa vibaya game ilikuwa muhimu kushinda. Arsenal 8 Marseille 7 Dortmund 4 Olympiacos 3 Click to expand... tunahitaji pointi 3..mechi ilikuwa inaisha kipindi cha kwanza ile.
Arsene Wenger said: Kundi bado limekaa vibaya game ilikuwa muhimu kushinda. Arsenal 8 Marseille 7 Dortmund 4 Olympiacos 3 Click to expand... tunahitaji pointi 3..mechi ilikuwa inaisha kipindi cha kwanza ile.
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,888 Reaction score 7,079 Nov 2, 2011 #16,200 Viper said: game ilikuwa nzuri defence yetu naona imekuwa solid ... sioni kwamba wenger ni wa kulaumiwa wapinzani wetu pia walikuwa na defence nzuri ... Click to expand... naona mertesacker amekuwa more confident alipocheza na vermaelen.
Viper said: game ilikuwa nzuri defence yetu naona imekuwa solid ... sioni kwamba wenger ni wa kulaumiwa wapinzani wetu pia walikuwa na defence nzuri ... Click to expand... naona mertesacker amekuwa more confident alipocheza na vermaelen.