Arsenal (The Gunners) | Special Thread

naona kwa jirani kumenuka, genk wanasawazisha pale!
 
Wenger aache masihara huyu mtoto Jenkinson hana hadhi ya kuanza kikosi cha kwanza.
 
kafanya nini cha ajabu leo? au ndo umekariri? mbona hata ramsey kaboronga sana tu?
 
loic remy anatoka, almafitano makes way in! remy hakucheza katika kiwango chake leo...
 
Lucho iz in, valbuena anatoka... nanusa hatari hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…