Hayo ni maneno tu ya mkosaji anaongea huku roho inamuuma, kwani huyo baiSkelly wenu amesubiri miaka mingapi kuingia 1st eleven?
Nakuhakikishia huyohuyo
Castr ulie mquote atakuja kulialia humu na kulaumu kwa nini Arsenyo inauza wachezaji ambao ni assets kama Ayden Heaven na Chido Obi-Martin kwa bei ya maandazi na kuiacha migalasa kina Kai Kiazi
View attachment 3222014View attachment 3222015