Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii eufa msimu huu hata sielewi ikoje ikoje, warudishe ile ile ama lah, watafute mfumo mwingine, waache huu.
 
Kuna kipindi Arsenal ilisemwa tunamtaka Buendia mimi pia niliunga mkono, ilikua ni kipindi ambacho tunahitaji AM vibaya mno.

Buendia akachukuliwa na Villa, ikiwa ni response yao kwa kumuuza Jack city.

Juzi Buendia katolewa kwa mkopo ameshindwa kufikia matarajio. On the other hand Arsenal tumetoa kwa mkopo wafuatao

Marquinhos
Vieira
Tavares

Katika hawa ambaye naamini tunamhitaji ni Tavares
 
Reiss Nelson
Sambi Lokonga.
 
Hii eufa msimu huu hata sielewi ikoje ikoje, warudishe ile ile ama lah, watafute mfumo mwingine, waache huu.
Kwa hatua hii imekaa vizuri, mambo ya kupangiwa kundi moja home and away ilikuwa siyo. Sasa unaona watu wanaumbuka huko play-offs.
 
Screenshot_20250131_171208.jpg
Screenshot_20250131_171208.jpg
 
Utashangaa anakuja Rashford
Chid migoli atawasadia sana mtabeba mpaka Uefa msimu huu, ila mtaweza kumlipa £350,000 kwa wiki?
Kesho Mancity wapo hapo Emirates kuchukua points zao 3 kiulaini kabisa.
 
Back
Top Bottom