Ukiwa shabiki wa arsenal utafurahia goli la kwanza mechi ya juzi UEFA alilofunga Declan rice
Ila ukiwa mpenzi wa mpira utachukia namna striker KAI alivyohangaika kutoa pasi kwa mido RICE badala ya kufanya simple turning na kuscore.
Nimemfanyia critical analysis Kai harvets bila chuki Wala bias na kuhitimisha kwamba huyu ni squad player.
Kuna watu wataleta numbers na records za Kai na wataenda mbali zaidi watamlinganisha na other strikers in the elites Europe leagues ila wasisahau kitu kidogo tu.
How goals are scored,in what condition, pressure of the match in which goals are scored is what makes a difference between strikers