Kuna kamstari kembamba sana kanakomtenganisha huyo Matembele wenu na Antony Masebene, ni vile tu mashabiki wa Arsenyo hua wanapenda sana kuwapamba wachezaji wao.
Ushindwe kumfunga Newcastle nyumbani kwenu utegemee utamfunga kwake?
Leo akishajihakikishia points zake 3 huko St. James' Park atakua anatafuta draw tu.